Chief wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akimuonyesha Mbunge
wa Jimbo la Dodoma Mjini DKT David Malole Historia ya kabila la kigogo
iliyoandikwa kwenye Mnara uliojengwa pembezoni mwa kisima Cha Maajabu Kilichopo
katika mlima Wa Bwibwi kijiji cha Iyumbu, wakati wa tambiko la wazee wa kabila
hilo.
Mbunge
wa Jimbo la Dodoma Mjini DKT. David Malole akishuka ngazi kuingia kwenye Kisima
cha Maajabu Kilichopo katika mlima wa Bwibwi uliyopo katika kijiji cha iyumbu
Mbunge huyo ni Miongoni mwa watu 100 walioingia kwa pamoja kukishuhudia kisima
hicho wakati wa tambiko la wazee wa kabila hilo
chief naye anashuka ngazi kuelekea shimoni
chief wa kabila la wagogo akiwa na wasaidizi wake
Chief wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akiwa juu ya Mnara
uliopo pembezoni mwa Kisima cha maajabu kilichopo katika mlima wa Bwibwi kijiji
cha iyumbu manispaa ya Dodoma, uliondikwa hitoria ya kabila hilo wakati wa
tambiko la mwaka huu ambalo hufanyika kila katikati ya mwaka.
tambiko hili
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini DKT. David Mchiwa Malole
akimiminiwa Pombe ya Kienyeji na Mke wa Chiefu wa kabila la kigogo Luce Masuma
Chihoma, kwaajili ya tambiko la kabila la kigogo lililofanyika katika kisima
cha maajabu kilichopo katika mlima wa Bwibwi kijiji cha Iyumbu kilichopo nje
kidogo ya mji wa Dodoma.
PICHA NA JOHN BANDA
No comments:
Post a Comment