Kamishina wa Tume ya Kuratibu na
Udhibiti wa Dawa za kulevya Christofa Shekiondo akifafanua jambo wakati wa
kilele cha maadhimisho ya ya kitaifa ya siku ya kupiga vita Dawa za kulevya
Duniani yaliyofanyika Dodoma.
Wananchi mwa mkoa wa Dodoma wakiandamana
kuelekea Viwanja vya nyerere [Nyerere Squere] kwa ajili ya kilele cha
maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupiga vita vita Dawa za kulevya
yaliyifanyika jana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu [Sera, Uratibu na Bunge]
William Lukuvi akipewa maelekezo ya Aina ya Madawa ya kulevya na Mkemia mkuu wa
Serikali Profesa Samweli Manyere alipotembelea Maonyesho hayo baada ya
kuyafunga Dodoma jana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu [Sera, Uratibu na Bunge]
William Lukuvi, Mkemia mkuu wa Serikali Profesa Samwel Manyere, Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma DR. Rehema Nchimbi na viongozi wengine wakipokea maandano kabla ya
kufunga kuhitimisha maaadhimisho ya siku ya madawa ya kulevya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu
[Sera , Uratibu na Bunge] Willam Lukuvi akielezea jambo wakati alipokuwa
akufunga maadhimisho ya kilele cha kupiga vita madawa ya kulevya yaliyofanyika
Dodoma jana.
Nuru
Saleh Mkazi wa Vijibweni Da es laam akitoa ushuhuda wa jinsi madawa ya kulevya
yalivyomtesa kabla ya kuyaacha
Robert
Mbeno Mnemele akitoa shuhuda jinsi alivyoanza kutumia madawa ya kulevya tangu
akiwa Darasa la tano na baada ya kuacha ameanza kidato cha kwanza, wakati wa
maaadhimisho hayo