Baba Mtakatifu Fransisko wa Kwanza amesema Kanisa Katoliki liko
katika hatari ya kuwa na waumini wachache na kubakia dogo, iwapo
litashindwa kufanya mabadiliko na kuwa la kisasa.
Matamshi hayo ameyatoa katika mahubiri yake wakati wa Ibada ya Misa Takatifu na Makardinali waliomchagua, kwenye Kanisa dogo la Sistine mjini Vatican. Baba Mtakatifu amewataka Wakatoliki kuwa na ujasiri wa kutembea katika uwepo wa Bwana.

No comments:
Post a Comment