Breaking News:Mbunge wa Chambani Salim Hemed Khamis,amefariki dunia

Mbunge wa Chambani Salim Hemed Khamis,amefariki dunia muda mfupi
uliopita katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili .Taratibu za
kuusafirisha mwili kuelekea Pemba kwa mazishi zinafanyika.
No comments:
Post a Comment