Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na mtoto Nathan Martin wakati akitoka kumjulia hali Meja jenerali
Mstaafu Vicent Mritaba aliyelazwa Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar
es salaam alikolazwa akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa kwa risasi
mkononi, tumboni na kiunoni wakati anaingia nyumbani kwake Ununio
wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo baada ya kumjulia
hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba aliyelazwa Hospitali ya Jeshi
Lugalo jijini Dar es salaam alikolazwa akitibiwa majeraha baada ya
kushambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni na mguuni wakati anaingia
nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mwalimu Aloys Konolipa wa Shule ya Msingi Kidugalo wilayani
Kisarawe Mkoa wa Pwani alipopita kuwapa pole wagonjwa wengine baada ya
kumjulia hali Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba aliyelazwa Hospitali
ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alikolazwa akitibiwa majeraha
baada ya kushambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni na kiunoni wakati
akiingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Brigedia
Jenerali Dkt. Paul Massawe Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba
akielezea alivyoshambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni na mguuni
wakati akiingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar
es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Brigedia
Jenerali Dkt. Paul Massawe, Brigedia Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba na
wauguzi wakiomba dua wakiongozwa na Mama Margareth Vicent Mritaba
katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alikolazwa Meja
Jenerali Mritaba akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa kwa risasi
mkononi, tumboni na kiunoni wakati anaingia nyumbani kwake Ununio
wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Brigedia
Jenerali Dkt. Paul Massawe wakiangalia majeraha aliyopata Meja Jenerali
Mstaafu Vicent Mritaba baada ya kushambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni
na kiunoni wakati anaingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni
jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment