Kuna uhusiano kubwa sana kati
ya mabadiliko ya uchumi kwa maana ya mfumo,na uanzishwaji wa vyombo vya
udhibiti,dhana ya udhibiti ilipiga kasi baada ya kuanza zoezi la ubinafsishaji
wa sekta ya umma.katika hali ya kawaida vyombo vya udhibiti vingeanzishwa kwanza
kabla ya zoezi la ubinafsishaji.na ingekuwa vyema pia zoezi la ubinafsishaji
liende sambamba na uanzishaji wa vyombo vya udhibiti.
MARK JAMES MWANDOSYA
Katika kitabu chake cha
UDHIBITI WA HUDUMA ZA KIUCHUMI TANZANIA.
No comments:
Post a Comment