Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwahutubia Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mjini Dodoma leo
Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati akilihutubia Bunge la Maalum la Katiba Tanzania.
Rais Mstaaf wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Othman Chande na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal wakifuatilia hutuba ya Rais Kikwete wakati akilihutubia bunge la
Maalum la Katiba Mjini Dodoma leo jioni.
Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakimsikiliza Amiri Jeshi
Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia bunge hilo.
Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania wakifuatilia hutuba ya
Rais Dkt Jakaya Kikwete, wakati akihutubia Bunge Maalum la Katiba Mjini
Dodoma leo jioni.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Tanzania wakifuatilia hutuba ya Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akilihutubia Bunge hilo leo
jioni Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment