Baadhi ya wajasiriamali wenye ulemavu wa kusikia (viziwi) wanaojihusisha na shughuli za uzalishaji katika sekta za kilimo, ufugaji mifugo na nyuki na ujasiriamali kutoka mikoa ya Dodoma, singida, Tabora na shinyanga wakishangilia hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na mkuu wa mkoa Dodoma na kutafsiriwa kwa lugha ya alama kwenye semina ya masuala ya ubora wa viwango iliyoandaliwa na shirika la viwango tanzania TBS mapema Leo mjini Dodoma. Picha ya pamoja baina ya mkuu wa mkoa wa dodoma Dr. Rehema Nchimbi, wataalamu wa masuala ya viwango vya ubora kutoka TBS na walemavu wasiosikia (viziwi) kutoka mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na shinyanga muda mfupi baada ya mkuu huyo wa mkoa kufungua semina kwa walemavu hao juu ya masuala ya ubora wa viwango iliyoandaliwa na shirika la viwango tanzania TBS na kufanyika mapema Leo Jumatatu Machi 24, 2014.
Tuesday, March 25, 2014
TBS YAWAFUNDA WALEMAVU WASIOSIKIA (VIZIWI) KUTOKA MIKOA YA DODOMA,SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA JUU YA UZALISHAJI WA BIDHAA KWA KUZINGATIA VIWANGO VYA UBORA
Meza kuu ikiongozwa na Mkuu wa mkoa Dodoma Dr.
Rehema Nchimbi wakiwashangilia kwa lugha ya alama wajasiriamali wenye ulemavu
wa kusikia (hawapo pichani) wakati wakijitambulisha kwenye semina iliyoandaliwa
na TBS kwa ajili ya kuwafunda walemavu hao masuala ya viwango vya ubora katika
shughuli za,uzalishaji iliyofanyika mapema Leo hii.
Mkuu wa mkoa Dodoma Dr Rehema Nchimbi
akiwasisitizia walemavu wasiosikia (viziwi) kuzingatia ubora wa viwango kwenye
bidhaa wanazozalisha kwenye sekta ya kilimo, ufugaji nyuki na mifugo na
ujasiriamali ili kunufaika na masoko ya kimataifa wakati akifungua semina kwa
walemavu hao juu ya masuala ya ubora wa viwango iliyoandaliwa na shirika
la viwango tanzania TBS, semina hiyo ilifanyika leo mjini Dodoma, wengine
pichani ni maafisa kutoka TBS.
Baadhi ya wajasiriamali wenye ulemavu wa kusikia (viziwi) wanaojihusisha na shughuli za uzalishaji katika sekta za kilimo, ufugaji mifugo na nyuki na ujasiriamali kutoka mikoa ya Dodoma, singida, Tabora na shinyanga wakishangilia hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na mkuu wa mkoa Dodoma na kutafsiriwa kwa lugha ya alama kwenye semina ya masuala ya ubora wa viwango iliyoandaliwa na shirika la viwango tanzania TBS mapema Leo mjini Dodoma. Picha ya pamoja baina ya mkuu wa mkoa wa dodoma Dr. Rehema Nchimbi, wataalamu wa masuala ya viwango vya ubora kutoka TBS na walemavu wasiosikia (viziwi) kutoka mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na shinyanga muda mfupi baada ya mkuu huyo wa mkoa kufungua semina kwa walemavu hao juu ya masuala ya ubora wa viwango iliyoandaliwa na shirika la viwango tanzania TBS na kufanyika mapema Leo Jumatatu Machi 24, 2014.
Baadhi ya wajasiriamali wenye ulemavu wa kusikia (viziwi) wanaojihusisha na shughuli za uzalishaji katika sekta za kilimo, ufugaji mifugo na nyuki na ujasiriamali kutoka mikoa ya Dodoma, singida, Tabora na shinyanga wakishangilia hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na mkuu wa mkoa Dodoma na kutafsiriwa kwa lugha ya alama kwenye semina ya masuala ya ubora wa viwango iliyoandaliwa na shirika la viwango tanzania TBS mapema Leo mjini Dodoma. Picha ya pamoja baina ya mkuu wa mkoa wa dodoma Dr. Rehema Nchimbi, wataalamu wa masuala ya viwango vya ubora kutoka TBS na walemavu wasiosikia (viziwi) kutoka mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na shinyanga muda mfupi baada ya mkuu huyo wa mkoa kufungua semina kwa walemavu hao juu ya masuala ya ubora wa viwango iliyoandaliwa na shirika la viwango tanzania TBS na kufanyika mapema Leo Jumatatu Machi 24, 2014.
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOANI DODOMA.
Baadhi ya maafisa wa ngazi za juu wa baadhi ya
vyombo vya ulinzi na usalama mkoa Dodoma wakipata ufafanuzi juu ya pampu
za kuvuta na kusukuma maji; elimu juu ya vifaa vya ujenzi wa miundombinu ya
maji, uhifadhi na utunzaji vyanzo na rasilimali za maji zilitolewa kwa wingi
kwenye maadhimisho hayo yaliyoambatana na maonesho ya huduma za maji kwenye
viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.
Subscribe to:
Posts (Atom)