Wajasiriamali mkoani Dodoma
wakishangilia jambo walipokuwa katika
ukumbi wa polisi jamii walipokuwa kwenye mafunzo ya utengenezaji wa
vitu mbalimbali kwa kutumia mikono, ikiwemo Batiki, keki, ubuyu, krips
na usindikaji wa vyakula na matunda yaliyoandaliwa na Kampuni ya
Wajasriliamali kwanza Entarprises ya jijini Dar es laam na kudhaminiwa
na Benk ya wajasriamali Tanzania [ACB]
ukumbi wa polisi jamii walipokuwa kwenye mafunzo ya utengenezaji wa
vitu mbalimbali kwa kutumia mikono, ikiwemo Batiki, keki, ubuyu, krips
na usindikaji wa vyakula na matunda yaliyoandaliwa na Kampuni ya
Wajasriliamali kwanza Entarprises ya jijini Dar es laam na kudhaminiwa
na Benk ya wajasriamali Tanzania [ACB]
akifafanua jambo wakati alipokuwa azunguza na wajasiriamali wa mkoa wa
Dodoma walioshirikai mafunzo ya utengenezaji na usindikaji wa bidhaa
mbalimbali yaliyofanyika kwa siku 4.
Meneja wa kampuni hiyo
Saravai Izinah akimtamburisha Meneja masoko wa benki ya wajasiriamali
Tanzania Inocent Ishengoma [ACB] ambao ndiyo
waliokuwa wadhamini wakuu wa mafunzo hayo yaliyodumu kwa kwa sik4 nakujumuisha wajasiriamali 1000 walishiriki wa mkoa wa Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma DKT Rehema Nchimbi akiwa
katika picha ya amoja na wafanyakazi wa kampuni ya wajasiriamali kwanza
waliokuwapokuwa wakiwafundisha wajasiriamali wa Dodoma namna ya kutengenezana kusindika
bidhaa mbalimbali.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma DKT Rehema Chimbi
akizungumza na wajasiriamali wa mkoa huo wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya
siku 4 yaliendeshwa na Kampuni ya wajasiriamali kwanza kwa udhamini wa
Benki ya akiba[ACB].
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma DKT Rehema Nchimbi
akimkabidhi meneja msaidizi wa benki ya wajasiriamali Tawi la Dodoma Christine
Wachona cheti cha ushiriki wa mafunzo ya wajasiriamali ambao pia walikuwa
wadhamini wa mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku 4.waliokuwa wadhamini wakuu wa mafunzo hayo yaliyodumu kwa kwa sik4 nakujumuisha wajasiriamali 1000 walishiriki wa mkoa wa Dodoma.
PICHA NA JOHN BANDA
No comments:
Post a Comment