Mkuu wa wilaya ya kondoa Omary Kwaangw' (kulia) akiumiza kichwa kutafuta majibu ya mtihani uliotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma Dr. Rehema nchimbi (watatu kutoka kulia) ill kupima kiwango cha ufuatiliaji wa mambo na utendaji wa viongozi wa wilayani kondoa.zoezi hili litafanyika kwenye wilaya ya zote za mkoa wa dodoma Mbunge wa kondoa kaskazini Mhe Zabein Mhita akichangia hoja juu ya tathimini ya ufuatiliaji wa mambo na utendaji wa viongozi na watendaji wa serikali wilayani kondoa jana, katikati ni katibu tawala msaidizi anayeshughulikia serikali za mitaa Dodoma Ndg. Emanuel kuboja na kulia ni mkuu wa mkoa wa dodoma Dr Rehema nchimbi.
Saturday, January 11, 2014
WAKUU WA IDARA MBALIMBALI WILAYANI KONDOA WAPEWA MTIHANI MAALUMU WA KUPIMA UWEZO WAO KATIKA KUFUATILIA MASUALA YA WANANCHI.
Mkuu wa wilaya ya kondoa Omary Kwaangw' (kulia) akiumiza kichwa kutafuta majibu ya mtihani uliotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma Dr. Rehema nchimbi (watatu kutoka kulia) ill kupima kiwango cha ufuatiliaji wa mambo na utendaji wa viongozi wa wilayani kondoa.zoezi hili litafanyika kwenye wilaya ya zote za mkoa wa dodoma Mbunge wa kondoa kaskazini Mhe Zabein Mhita akichangia hoja juu ya tathimini ya ufuatiliaji wa mambo na utendaji wa viongozi na watendaji wa serikali wilayani kondoa jana, katikati ni katibu tawala msaidizi anayeshughulikia serikali za mitaa Dodoma Ndg. Emanuel kuboja na kulia ni mkuu wa mkoa wa dodoma Dr Rehema nchimbi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment