Friday, May 10, 2013

BREAKING NEEEEWZZ!!! SHEIKH PONDA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE MWAKA MMOJA, WENZAKE 49 WAACHIWA HURU

HABARI zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, leo imesoma hukumu ya kesi iliyokuwa ikimkabili katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, na kumhukumu kifungo cha nje cha Mwaka mmoja huku wenzake 49, wakiachiwa huru. 

Thursday, May 9, 2013

MKUU WA MKOA WA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI NA KAMPENI YA KUHAMASISHA KILIMO MKOANI HUMO

mh mkuu wa mkoa wa dodoma DR REHEMA NCHIMBI(kushoto) akiwa katika shamba la mpunga huko wilayani BAHI katika kampeni yake ya kuhamasisha kilimo mkoani DODOMA (kushoto mwenye kofia ni mkuu wa wilaya ya BAHI BI BETY MKWASA)

ULINZI WAIMARISHWA KWENYE HUKUMU YA SHEIKH PONDA LEO

Hukumu ya  Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda  inatarajiwa kutolewa leo katika mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam ampapo ulinzi mkali umeimarishwa.

Kuimarisha ulinzi Mahakamani
Mwanamke akizungumza na maasikari waliokuwa wanalinda mahakamani leo

HAYA NI MAMBO YA SHULE YA SECONDARY CHAGAA WILAYANI KONDOA-DODOMA WANAFUNZI WAKIPEWA ONYO.


Photo: Hapa ni katika shule ya sekondari Chagaa Wilayani Kondoa kwenye Mkoa wa Dodoma ambako Wanafunzi wa hii shule hutumia zaidi lugha ya Kirangi kuliko Kiswahili na Kiingereza, hivyo wamepewa onyo hapa..... unaweza kushea post hii na wengine waone mtu wangu

Hapa ni katika shule ya sekondari Chagaa Wilayani Kondoa kwenye Mkoa wa Dodoma ambako Wanafunzi wa hii shule hutumia zaidi lugha ya Kirangi kuliko Kiswahili na Kiingereza, hivyo wamepewa onyo hapa.

mkuu wa mkoa wa dodoma DR REHEMA NCHIMBI atembelea mashamba ya viongozi wa wilaya ya bahi katika kuhamasisha kilimo mkoani dodoma.(KILIMO BORA,CHAKULA BORA HULETA MAENDELEO BORA)

 mh mkuu wa mkoa wa dodoma DR REHEMA NCHIMBI akiangalia alizeti iliyostawi vizuri katika shamba la alizeti lililolimwa na  mh mkuu wa wilaya ya bahi BI BETY MKWASA(aliyesimama kulia)katika ziara ya kukagua mashamba ya viongozi mkoa wa dodoma
 mkuu wa mkoa wa dodoma DR REHEMA NCHIMBI (mwenye nguo nyeusi) akiwa na msafara wa viongozi wa wilaya ya bahi wakielekea shambani.(kulia kwake ni mkuu wa wilaya ya bahi BI BETY MKWASA)
DR REHEMA NCHIMBI akifurahia kustawi kwa alizeti wilayani bahi.