Waziri
wa Fedha na Mpango Mhe.Dr.Philip Mpango akiwaonyesha waandishi wa
Habari mkoba wenye hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 leo
Bungeni Mjini Dodoma tarehe 8th June 2018.
Waziri
wa Fedha na Mpango Mhe.Dr.Philip Mpango akiwasilisha Bungeni
mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha
kwa mwaka 2017/18.
Wabunge wakisikiliza hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini Dodoma tarehe 8th Juni 2018.
Baadhi ya wageni wakisikiliza hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini Dodoma tarehe 8th Juni 2018.
.Wabunge
wakiingia Ukumbi wa Bunge kusikiliza hotuba ya bajeti ya Serikali kwa
mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini Dodoma tarehe 8th June 2018.
Picha zote na MAELEZO, DODOMA
No comments:
Post a Comment