Wednesday, February 6, 2013

KITU CHA DODOMA IRINGA KINAENDELEA VIZURI BADO KUPIGWA MKEKA TU

1 0685c
Ujenzi wa Barabara ya Iringa kwenda Dodoma.Hapa ni milima ya Nyang'olo

HAPPY BIRTHDAY ISHA MASHAUZI

isha 9bfb3
Isha Mashauzi, one of the most popular Taarab singers in the country, celebrated her
birthday yesterday 5th February, Isha who is also the band leader of
her own group Mashauzi Classic Modern Taarab, got together with her
parents, band members, friends and relatives, and had a lively
birthday party which went on to the early hours of the morning. A
beautiful cake made by her friend was a special attraction of the
night

POLISI ARUSHA WAKAMATA BANGI

00 9a4e6
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha (ACP) Liberatus Sabas akiwaonyesha waaandishi wa habari hawapo pichani madawa ya kulevya aina ya bangi yaliyokuwa kwenye moja ya viroba kati ya 20

jk Amjulia Hali Mzee Msuya

8E9U5891
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu mstaafu,Mzee David Cleopa Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana jioni(picha Rashid Ngurungu-Ikulu)

CAMEROON KUIVAA STARS LEO BILA ETO'O, SONG


WAKATI timu za soka za Tanzania ‘Taifa Stars’ na ile ya Cameroon ‘Indomitable Lions’ zinashuka leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, makocha wa timu hizo Mdenmark Kim poulsen wa Stars na Mfaransa Jean Paul Akono wametamba vikosi vyao kuibuka na ushindi.

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuzindua  ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Phillipe Dongier, wakifunua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo .
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongozana na Mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Phillipe Dongier, mkewe Mama Salma Kikwete, Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na viongozi wengine baada ya uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo.
 Msanii Diamond na kundi lake wakishambulia jukwaa wakati wa sherehe za  uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Muungano eneo la Kibaoni wilayani Uvinza, Kigoma, akiwa njiani kuelekea mjini Kigoma, akitokea kukagua ujenzi wa daraja la Mto Malagarasi leo.

Sunday, February 3, 2013

MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO YA MIAKA 36 YA CCM MJINI KIGOMA LEO

Mwenyekiti wa CCM Rais Janakaya Kikwete akiongoza matembezi ya maadhimisho ya miaka 36 ya CCM, leo asubuhi kutoka eneo la Mnarani hadi ofisi ya CCM mkoa wa Kigoma leo. Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou, Mama Salma Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kulia)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongoza matembezi ya mshikamano ya Miaka 36 ya CCM, mjini Kigoma leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongoza matembezi ya Mshikamano ya Maadhimisho ya Miaka 36 ya CCM mjini Kigoma leo
Matembezi hayo yakipita eneo la Burega, Barabara ya Kigoma-Ujiji
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akiwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sadifa Abdalla na Mkuu wa wilaya ya Kigoma Jumanne Maneo