Wednesday, April 26, 2017

ANGALIA PICHA ZOTE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA MUUNGANO DODOMA.



Onesho la ndege vita kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma 

Onesho la mbwa wa polisi  kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma 

 
Onesho la Komandoo wawili kuvuta lori la tani 7 kwa mikono kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Kikosi cha Komandoo wa JWTZ kikitoa heshima kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na walioshiriki katika zoezi la kuchanganya udongo kuasisi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Raisn Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma  Picha  zote na  Ikulu

Friday, April 21, 2017

NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA NI MADRID NA MADRID, MONACO NA JUVENTUS .

3F736F5700000578-0-image-m-10_1492770046058
Droo ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa imekamilika na Real Madrid atakutana na Atletico Madrid katika mechi ya kwanza ya hatua hiyo.
Nusu fainali ya pili, itakuwa ni AS Monaco dhidi ya Juventus mechi ya kwanza ikipigwa nchini Ufaransa.

3F74095300000578-4431786-image-a-14_1492770960100

WAZIRI MKUU AONGOZA WABUNGE KUAGA MWILI WA DR ELLY MACHA BUNGENI MJINI DODOMA.


Z
Spika wa Bunge la Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiwa na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa wakati wakisubiri kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Marehemu Mhe.Elly Marko Macha katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
8347-mwili ukiwa umebebwa na wapambe wa spika
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiwa na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa wakati wakisubiri kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Marehemu Mhe.Elly Marko Macha katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
8396-mchungaji akiongoza misa
 Mchugaji wa kanisa la KKKT Dodoma akiongoza ibada fupi ya kumwombea Marehemu Mhe.Elly Marko Macha Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
8420-viongozi
Spikawa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe.JobNdugaiakiwananaWaziriMkuuMhe.KassimMajaliwanaNaibuSpikaMhe.Dkt Tulia Ackson, KiongoziwakambirasmiyaUpinzaniBungeniMhe.FreemanMbowenaWaziriwaSera,Bunge,Kazi,Vijana,AjiranaWalemavuMhe.JenistaMhagamawakiwakatikaviwanjavya Bunge tayarikwaIbadafupiyayakumwombeaMarehemuMhe.Elly Marko MachaMbungewaVitiMaalum(CHADEMA).
8465-kiongozi wa kambi ya upinzani
KiongoziwakambirasmiyaUpinzaniBungeniMhe.FreemanMboweakitoasalamuzarambirambikwaniabayakambiyaupinzanikwafamiliayaMarehemuMhe.Elly Marko MachaMbungewaVitiMaalum(CHADEMA) katikaviwanjavyaBunge,MjiniDodoma.KushotokwakeniViongozimbalimbaliwaSerikalina Bunge.
8491-Waziri Mkuu akiongea
WaziriMkuuMhe.KassimMajaliwaakitoasalamuzarambirambikwaniabayaSerikalikwafamiliayaMarehemuMhe.Elly Marko MachaMbungewaVitiMaalum(CHADEMA) katikaviwanjavyaBunge,MjiniDodoma.KushotokwakeniViongozimbalimbaliwaSerikalina Bunge.
8510-Spika akizungumza
Spikawa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe.JobNdugaiakitoasalamuzarambirambikwaniabaya BungekwafamiliayaMarehemuMhe.Elly Marko MachaMbungewaVitiMaalum(CHADEMA) katikaviwanjavyaBunge,MjiniDodoma.KushotokwakeniViongozimbalimbaliwaSerikalina Bunge.
8516-sehemu ya wabunge
BaadhiyaWabungewakiwakatikaviwanjavya Bunge Dodoma kwaajiliyakutoaheshimazamwishozamwiliwaMarehemuMhe.Elly Marko MachaaliyekuwaMbungewaVitiMaalum(CHADEMA).
8542-spika akitoa salamu za mwisho
Spikawa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe.JobNdugaiakitoaheshimazamwishokwamwiliwaMarehemuMhe.Elly Marko Macha(CHADEMA)katikaviwanjavyaBunge,Mjini Dodoma
8545-waziri mkuu akiaga
WaziriMkuuMhe.KassimMajaliwaakitoaheshimazamwishokwamwiliwaMarehemuMhe.Elly Marko Macha (CHADEMA) katikaviwanjavyaBunge,Mjini Dodoma.
ZZZ
KiongoziwakambirasmiyaUpinzaniBungeniMhe.FreemanMboweakitoaheshimazamwishokwamwiliwaMarehemuMhe.Elly Marko Macha (CHADEMA) katikaviwanjavyaBunge,Mjini Dodoma.
8556-waziri wa habari
Waziri waHabari,Utamaduni,SanaanaMichezoMhe.HarrisonMwakyembeakitoaheshimazamwishokwamwiliwaMarehemuMhe.Elly Marko Macha (CHADEMA) katikaviwanjavyaBunge,Mjini Dodoma.
8565-naibu waziri akitoa salamu za mwisho
NaibuWaziriwaHabari,Utamaduni,SanaanaMichezoMhe.AnastaziaWamburaakitoaheshimazamwishokwamwiliwaMarehemuMhe.Elly Marko Macha (CHADEMA) katikaviwanjavyaBunge,Mjini Dodoma.
8523-familia ya marehem
FamiliayamarehemuMhe.Elly Marko Macha(waliokaamstariwambele),wakiongozwanakaka wamarehemu,dada,namtotowamarehemuwakiwakatikaviwanjavyabungekwaajiliyaibada.
PichazotenaDaudiManongi-MAELEZO, DODOMA

Friday, April 14, 2017

RAIS MAGUFULI ASIKITISHWA NA MAUAJI YA ASKARI ,ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA IGP.

MAUAJI YA KUTISHA MKOANI PWANI ,MAJAMBAZI YAUA POLISI 7.OPARATION YA KUWASAKA WAUAJI YAANZA.


picha za baadhi ya askari waliouwawa


Na Mathias Canal, Dar es salaam

Askari wa jeshi la Polisi Mkoani Pwani Jana waliwaua watu wanne watuhumiwa  katika majibizano ya risasi Mara baada ya kutokea Mauaji ya Askari nane waliokuwa wanatoka kubadilishana Rindo katika Barabara ya Dar es salaam- Lindi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo (CP) Nsato Marijani Mssanzya wakati wa mkutano wake na waandishi wa Habari alisema kuwa 
Jana tarehe 13/04/2017 majira ya saa kumi na mbili na robo jioni maeneo ya Mkengeni, Kata ya Mjawa, Wilaya ya Kibiti, Mkoani Pwani, Majambazi ambao idadi yao haijafahamika wakiwa na silaha za Moto walishambulia kwa risasi gari la Polisi lenye namba PT 3713 Toyota Land Cruiser na kuwaua askari hao nane.

Kamishna Mssanzya amewataja askari waliouwawa katika tukio hilo kuwa ni A/INSP Peter Kigugu, F.3451CPL Fransis, F.6990PC Haruna, G.3247 PC Jackson, H.1872 PC Zacharia, H.5503 PC Siwale, H.7629 PC Maswi na H.7680 PC Ayoub.

Kamishna Mssanzya alisema kuwa katika tukio hilo majambazi hayo yalipora silaha saba zikiwemo SMG Nne na Long Range Tatu.

Ameeleza kuwa Mara baada ya tukio hilo hatua za Kiintelijensia na kiupelelezi zilichukuliwa na zilipelekea askari kufuatilia na kubaini maficho ya muda ya majambazi hao na katika majibizano ya risasi majambazi wanne waliuawa na bunduki nne kupatikana, Mbili zikiwa ni zile zilizoibiwa katika tukio la Mkengeni na bunduki mbili zikiwa Mali ya majambazi hayo.

Kamishina Mssanzya amewasihi wananchi wakati Jeshi la Polisi likiendelea kuwatafuta majambazi hao wao kuendelea kuwa watulivu na kuendelee kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi zitakazosaidia ukamataji wa wahalifu hao

Tuesday, April 11, 2017

KIKAO CHA MAJADILIANO BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI MJINI DODOMA.

A
Waziri wa fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa TPSF Dkt. Reginald Mengi pamoja na makamu mwenyekiti TPSF Mr. Salum Shamte.
A 2
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, (mwenye suti nyeusi), kushoto ni Mhe. Dkt), Philip Mpango Waziri wa fedha na Mipango, Dkt. Reginald Mengi Mwenyekiti TPSF, pamoja na Ndugu Salum Shamte Makamu mwenyekiti TPSF
A 1
Baadhi ya washiriki wa Kikao cha majadiliano baina ya serikali na sekta binafsi.

RAIS DKT.MAGUFULI AMEWAAPISHA WAJUMBE WA KAMATI MAALUM YA PILI YA WACHUMI NA WANASHERIA ITAKAYOCHUNGUZA MCHANGA WENYE MADINI

 VVV
VVV 1