Thursday, April 11, 2013

BAO LA UGENINI LAIBEBA BARCELONA NUSU FAINALI BAADA YA SARE YA 1-1 NA PSG


Barcelona wakiwa kwao Nou Camp, huku mkali wao Lionel Messi akianzia benchi kurudiana na Paris Saint-Germain katika Mechi ya pili ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE,Mchezaji wa PSG akimkaba sawasawa Fabregas
Lionel Messi was only fit enough for the bench against PSG
Kipindi cha pili dakika ya 50 mchezaji Pastore akawapatia PSG bao baada ya Ibrahimovic kumpatia pasi safi na kukimbia nao na hatimaye kuwapita mabeki na kumchambua kipa na kutupia nyavuni. Dakika ya 62 Barcelona wakafanya mabadiliko wakamtoa Fabregas na Lionel Messi akaingia kuongeza nguvu. Haikukawia dakika ya 71 mchezaji wa Barcelona Pedro akawasawazishia bao hilo na kufanya 1-1.
Leap off faith: Barcelona have struggled in the final third without their talisman MessiWachezaji wa Barclona wakizuia baada ya Ibrahimovic kuwasimamia kidete
Leap off faith: Barcelona have struggled in the final third without their talisman MessiPastore akiendesha kwenda kufunga bao dakika ya 50 kipindi cha pili
Argy bargy: Pastore dinks the ball past Valdes to hand PSG a vital lead
Pastore akiwaacha hoi mabeki wa barcelona pamoja na kipa Valdes kufunga bao
Argy bargy: Pastore dinks the ball past Valdes to hand PSG a vital lead
Pastore baada ya kufunga bao
Pastore akikumbatiwa na wachezaji wenzi baada ya kuwatangulia bao Barca

UKIGUNDUA KITU KITAMU RAHA SANA.

Wadau wa London Pub wakiwakilisha kwenye promotion ya  Windhoek Lager PR Stadium Bar baada ya match ya Azam FC na Barrack ya Liberia. 100% Pure BeerVIJANAWATANASHATI WAKIWA NA MAMBO MATAMU YA WINDHOEK LAGER

KAJALA NA ANT EZEKIEL HAO.


Thursday, April 4, 2013

HATARI SAKATA LA KUGOMBEA KUCHINJA LAZUSHA BALAA TUNDUMA VURUGU TUPU.

Hii ndiyo hali halisi ya Mji mdogo wa Tunduma leo kuanzia asubuhi



Matairi yanachomwa katikati ya barabara



Mambo hayo

WATUHUMIWA WA KUANGUKA KWA JENGO LA GHOROFA 16 WAFIKISHWA MAHAKAMANI.

 Mmiliki wa jengo la ghorofa 16 lililoanguka na kusababisha vifo wa watu 34 na majeruhi Hussein Raza wa kwa kutoka (kulia) akiwa na washitakiwa wengine kumi waliokaa mstari wa mbele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam walipofikishwa leo
 Hussein Raza ambaye ndiye mmiliki wa Jengo hilo akipelekwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam
Hussein Raza akiswali kabla ya kuingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam

WAKAZI WA IRINGA WAULALAMIKIA MJI KWA KUKITHIRI KWA UCHAFU



HII NI MITAA YA FRELIMO NDANI YA MANISPAA YA IRINGA.UCHAFU HADI
BARABARANI, JE UNAFIKIRI TATIZO HILI LINASABABISHWA NA NA WATUPA TAKA
(WANANCHI) AU MAMLAKA HUSIKA??

SUPER PRESDENT UHURU KENYA ANATARAJIWA KUAPISHWA KAMA OBAMA.