Klabu ya yanga imevunja mkataba wa mchezaji wake wa kimataifa Haruna
Nionzima leo kwa mujibu wa msemaji wa klabu hiyo Jerry Muro akiongea na
wandishi wa habari katika klabu hiyo na kusema Nionzima atapaswa kulipa
kiasi cha fedha za kitanzania shs 149 milioni na kuongeza klabu yeyote
itakapo mtaka mcheza huyo alipe kwanza kiasi hicho ndipo
atamchukua&nbs.