Monday, December 28, 2015
HARUNA NIYONZIMA AVUNJIWA MKATA NA YANGA
Klabu ya yanga imevunja mkataba wa mchezaji wake wa kimataifa Haruna Nionzima leo kwa mujibu wa msemaji wa klabu hiyo Jerry Muro akiongea na wandishi wa habari katika klabu hiyo na kusema Nionzima atapaswa kulipa kiasi cha fedha za kitanzania shs 149 milioni na kuongeza klabu yeyote itakapo mtaka mcheza huyo alipe kwanza kiasi hicho ndipo atamchukua&nbs.
Tuesday, August 11, 2015
ANGALIA PICHA 50 ZA LOWASA AKIENDA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI(NEC)
Mgombea Uraisi kupitia ukawa Edward Lowassa akiwa katika gari lake kuelekea Tume ya uchaguzi kuchua fomu leo |
haya ni maandamano ya kumsindika Lowassa kuchukua fom eneo la barabara ya bibititi katika |
moja ya shamrashamra mwqendesha bodaboda aserereka barabara ya OHIO karibu na serenna Hotel |
huyu jembe mwana |
Vijana wakiwa kwenye kwenye mchakachaka |
wakielekea tume ya uchaguzi |
hizo ni shamra shamra |
wafanyakazi mbalimbali wakiwa barabarani eneo la |
gari la magereza likipita eneo la barabara ya Ohio wakishangilia maandamano |
Gari la magereza likipita eneo la barabara ya Ohio wakishangilia maandamano huku wakionyesha vidole kuashiria ukawa |
jeshi la polisi wakiwa katika doria |
baadhiya wafanyakazi nje ya ofisi zao |
wakiwa wamebeba jenezahuku wakiweka mikono vichwani kwa huzuni na kilio |
wamebeba kiloba cha machupa wakiimba maisha bora kwa kila mtanzania kuuza chupa za plastiki |
wamasai nao wamo |
hicho ni kibuyu wakitia ubani kumuombea Lowassa kuingia ikulu |
mashabiki wakiwa na hiki kibuyu |
hiyo nyumi |
jamaa huyu akiwa na funguo akijaribu kufungua mlango wa Ikulu |
hiii nyomi ya mtu |
wakielekea tume ya uchaguzi |
jembe letu |
kijana huyu ambaye amejipaka unga kichwani ambaye akifanya Lowassa |
akiserebuka barabarani |
hawa mashabiki mmoja akifanya mganga wa jadi akielekea tume ya uchaguzi |
mdundiko |
maandamano |
maandamano |
mchaka mchaka |
wabunge mchngaji Msigwa na Godbles Lema |
gari la mama regina Lowassa |
Gari la lowassa |
wanahabari |
mwenyeki wa chadema Freeman Mbowe |
James Mbatia |
wapiga picha |
wapiga picha |
sugu |
maandamano |
muuza kadi |
hali |
ulinzi |
Sunday, May 31, 2015
LIVE KUTOKA CHUO CHA MIPANGO DODOMA MWIGULU NCHEMBA AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS.
Sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba kutangaza nia ambapo tayari amewasili katika ukumbi wa Mwl. Nyerere katika chuo cha mipango Dodoma ili kutangaza nia yake ya kugombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM.
Hapa nimekuandikia pointi muhimu anazotoa Mwigulu Nchemba (Zinaanzia juu kuja juu);
13: Mtu yoyote akithibitika amefanya vitendo vya rushwa, atafilisiwa, atafukuzwa kazi na atafungwa.
12: Rushwa hupofusha macho ya wenye akili na rushwa hurudisha nyuma maendeleo.
11: Awamu ya 5 nataka kuona nchi ikiingia kwenye uchumi wa viwanda na vijana wakifanya kazi kwa shift usiku na mchana .
10: Pia jambo lingine la kuzingatia ni Udhibiti wa matumizi mabaya ya fedha na kuacha kufanya kazi kwa mazoea.
9:Mambo ya kuzingatia ni Kila mtu kulipa kodi anayostahili na sio kukandamiza wafanyakazi na kinamama wauza vitumbua .
8:Mkataba wa Rais wa awamu ya tano ni juu kazi anazoenda kufanya na sio kazi alizowahi kufanya.
7: Faida ya kuwa kiongozi Kijana ni kuwa Unafanya kazi ukiwa na nguvu na ukimaliza unapumzika, kwahiyo unajiuliza tena hilo?
6: Kiongozi akipatikana kwa mazoea, atafanya kazi kwa mazoea. Nawaambieni tunataka tukomeshe kufanya kazi kwa mazoea
5: Kukaa sana serikalini si kigezo, unaweza kukaa sana serikalini na ukawa umesababishia hasara kubwa Taifa hili.
4: Nilipomaliza shahada ya 2 nilibeba zege na mke wangu alipika mama ntilie, natambua tatizo la ajira kwa vijana.
3: Kiongozi aliyekaa muda mrefu madarakani maana yake ni kwamba amesahau shida za wananchi.
2: Nimeamua kutangazia nia Dodoma kwakuwa ni Makao makuu ya Nchi na pia makao makuu ya chama.

1: Namshukuru MUNGU kwa kuniwezesha leo kusimama mbele yenu kwaajili ya kutangaza jambo kubwa kwaajili ya nchi yetu
MZIKI WA MMASAI ,LOWASA NI NOA SANA
Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jana, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha, kumsikiliza Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kulia).
Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Ndg. Onesmo Ole Nangole akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha .
Mh. Lowassa akiwapungia wananchi.
Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akihutubia katika mkutano wa hadhawa wa kutangaza nia yake hiyo, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha.
Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Mkewe Mama Regina Lowassa wakati wa mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.
Mh. Edward Lowassa akipongezwa na baadhi ya Wabunge waliohudhulia mkutano huo, baada hotuba yake.
Subscribe to:
Posts (Atom)