Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira akifuatilia matukio mbalimbali kwenye semina hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited, Benadicta Rugemalira, akiwa kwenye semina hiyo.
Daktari bingwa wa ugonjwa wa saratani ya
matiti kutoka nchini India, Profesa Anthony Pais, akitoa mafunzo kuhusu
ugonjwa huo kwa madaktari wa kitanzania na wadau mbaliombakli wa sekta
ya afya. Semina hiyo ilifanyika Dar es Salaam jana, Hoteli ya Protea
Courtyard Seaview.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabibo
Beer Wines and Spirits Limited, Benadicta Rugemalira, akizungumza
katika semina hiyo. Kampuni hiyo ilidhamini semina hiyo.
Profesa Anthony Pais, akiwa na madaktari
wa kitanzania. Kutoka kushoto ni Executive Chairman Tanzania Creative
Industries Network (TACIN), Anic Kashasha na Dk.Paul Mareale.
Profesa Anthony Pais (kushoto), akielezea jambo kuhusu ugonjwa huo.
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea,
James Rugemalira akiteta jambo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibo Beer
wines and Spirits Limited, Benadicta Rugemalira.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ,
Dk.Malina Njelekela(kulia), akizungumza na wadau mbalimbali katika semina hiyo.
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea,
James Rugemalira akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni mke wake
ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibo Beer wines and Spirits
Limited, Benedicta Rugemalira na Profesa Anthony Pais.
Profesa Pais (katikati), akiwa na
wenyeji wake. Kutoka kulia ni Dk.Paul Mareale, James Rugemalira,
Dk.Malina Njelekela na Benedicta Rugemalira.
Profesa Pais akizungumza na waandishi wa habari.
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea,
James Rugemalira (kushoto), akipeana mkono na daktari bingwa wa ugonjwa
wa saratani ya matiti kutoka India, Profesa Anthony Pais (kulia), baada
ya kutoa mafunzo kwa madaktari wa Tanzania na wadau wa sekta ya afya
kuhusu ugonjwa huo, Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji
wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benedicta Rugemalira,
waliodhamini mafunzo hayo ya siku moja.
Profesa Pais (mwenye suti katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wake.
Profesa Pais (mwenye suti katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wake.
Wadau mbalimbali na maofisa wa Kampuni ya Mabibo wakiwa kwenye semina hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ,
Dk.Malina Njelekela(kulia), akiteta jambo na viongozi wengine kwenye semina hiyo