Tuesday, December 9, 2014

MATUKIO MBALIMBALI YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA BARA.


 Rais Jakaya Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi, wakati alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania.
 Rais Jakaya Kikwete  akikagua gwaride.
 Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Makamu wa pili wa Rais wa Zanziba, Balozi Seif Idd, baada ya kuwasili uwanjani hapo.
 Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein.
 Wimbo wa Taifa......
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kuhudhuria sherehe hizo.
 Sehemu ya wageni waalikwa....
 Sehemu ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali, waliohudhuria sherehe hizo kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam leo mchana.

MATUKIO MBALIMBALI YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA BARA.


 Rais Jakaya Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi, wakati alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania.
 Rais Jakaya Kikwete  akikagua gwaride.
 Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Makamu wa pili wa Rais wa Zanziba, Balozi Seif Idd, baada ya kuwasili uwanjani hapo.
 Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein.
 Wimbo wa Taifa......
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kuhudhuria sherehe hizo.
 Sehemu ya wageni waalikwa....
 Sehemu ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali, waliohudhuria sherehe hizo kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam leo mchana.

Sunday, December 7, 2014

BREAKING NEEEWZ!!! IDRIS WA TANZANIA ASHINDA BIG BROTHER.

Mshiriki  wa Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan ndiye ameibuka kinara leo usiku katika shindano hilo huko Afrika Kusini. Idris amekuwa Mtanzania wa pili kushinda shindano hilo, baada ya Richard Dyle Bezuidenhout kuibuka kidedea mwaka 2011 katika Big Brother Afrika II

Wednesday, December 3, 2014

DUNIANI KUNA VITUKO, TAJIRI MAARUFU NIGERIA AZIKWA AKIWA NDANI YA GARI LAKE LA HUMMER.


 Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer, kama inavyoonekana pichani gari hilo likishuhswa kaburini kama inavyokuwa kawaida kushusha Jeneza kaburini muda unapowadia.
Tayari wakianza kufukia gari hilo kama inavyokwa kawaida kufukia Jeneza baada ya kukamilika kwa taratibu zote.  ''ETI SHIKAMOO PESA''

AL-SHABAB WAUWA WATU 36 NCHINI KENYA

Watu 36 wamefariki katika shambulio lililofanya na kundi la al-shabab kwenye machimbo ya kokoto karibu na mji wa mandera kaskazini mwa kenya.shirika la msalaba mwekundu limethibitisha kutokea kwa shambulio hilo.

wakazi wa eneo hilo wamesema walio uawa ni wasio waislam waliokuwa wakifanya kazi katika machimbo hayo yaliyopo kormey kilometa 20 kutoka mji wa mandera kaskazini mwa kenya.

Monday, November 24, 2014

AL SHABAB WAKIRI KUTEKA BASI NA KUUA WATU 28 NCHINI KENYA.


Al Shabaab lakiri kutekelza shambulizi nchini kenya
Kundi la Al Shabaab nchini Somali linasema kuwa limefanya mashambulizi ya abiria 28 katika basi moja kazkazini mashariki mwa kenya.
Basi hilo ambalo lilikuwa likiwabeba abiria 60 lilitekwa katika jimbo la mandera lilipokuwa likelekea mjini Nairobi.
Abiria mmoja ambaye alinusurika ameiambia BBC vile raia wasio wa Somali walitengwa na wengine na wale ambao hawakuweza kusoma aya ya Quran walipigwa risasi kwa karibu.
Katika taarifa yake al Shabaab limesema kuwa mashambulizi hayo ni ya kulipiza kisasi mauaji ya waislamu huko Mombasa yaliotekelezwa na vikosi vya usalama vya kenya.
Kenya imekumbwa na misururu ya mashambulizi ya risasi na mabomu yanayodaiwa kutekelezwa na kundi la Alshabaa tangu vikosi vyake viingie nchini Somali.
The bodies of 28 non-Muslims who were executed today by Islamic Shebab lie on the ground in Mandera, before being taken to a nearby hospital
Miili ya watu 28 wasio Waislamu waliotekwa na kikundi cha Shabab ikiwa imelazwa uwanjani mjini Mandera, kabla ya kupelekwa hospitali ya jirani
Among the victims were several children, who were shot in the head at point-blank range alongside the other victims
Miongoni mwa wahanga walikuwa watoto kadhaa ambao walipigwa risasi kichwani

Thursday, November 20, 2014

MKUU MPYA WA MKOA WA DODOMA CHIKU GALAWA AFUNGUA WARSHA YA KUPINGA RUSHWA YA NGONO KATI YA MABOSI NA WATENDAJI WA CHINI.

 Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wanawake Tanzania Jaji Engera Kileo
akizungumza katika semina hiyo.
 Wajumbe waliohudhuria warsha ya kutafuta namna ya kukomesha Rushwa ya
ngono maofisini kati ya mabosi watendaji wa chini ikiwemo vyuoni na
mashuleni iliyoandaliwa na chama cha majaji wanawake Tanzania [TAWJA]
iliyofanyika Dodoma
                                      wajumbe wakiwa katika mkutano huo
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifafanua jambo wakati alipokuwa
akifungua Semina ya siku moja ya kutafuta namna ya kukabiliana na
Rashwa mbalimbali ikiwemo ya Ngono kati ya viongozi na watendaji wa
chini iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania [TAWJA].
Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa, Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wanawake
Tanzania Jaji Engera Kileo na Ofisa Miradi wa UN woman Programe Ofice
Cralissa Berg wakifurahia jambo wakati wa mapumziko mafupi ya semina
ya kutafuta ufumbuzi wa kutokomeza Rushwa ya ngono iliyoandali na
TAWJA.

PICHA NA JOHN BANDA


MMILIKI WA LINAS CLUB BUKOBA AFARIKI AKIFANYA MAPENZI NDANI YA GARI


 Mmiliki wa Club ya Linas ya mjini Bukoba, Leonard Mtensa, akiwa hospitali baada ya kufikishwa hapo akiwa amefariki kwa kile kilichoelezwa na Polisi mkoa kuwa alifariki wakati akiwa katika mahaba na mpenzi wake ndani ya gari.
 Tamko la Polisi mkoa kuhusu kifo hicho.
 Mdada anayedaiwa kuwa mke wa marehemu.
Mke wa marehemu akilia huku akiugusa mwili wa marehemu mumewe wakati ukiwa hospitalini.

Thursday, November 13, 2014

WINDHOEK PARTY NDANI YA NYUMBANI PARK MOROGORO NI BALAAAAAH!


DJ Emmanuel akipagawisha wapenzi wa muziki. 
 Ofisa Mauzo wa Windhoek Kanda ya Kati, Emmanuel Mbaule (kulia), akiwa na mdau wa Windhoek katika club hiyo.
 Warembo hawa nao walikuwepo kupata Windhoek na burudani ya mziki hakika ilikuwa kama usiku wa Windhoek wacha tu wajimwaemwae.
 Hapa wakifurahi baada ya kupata Windhoek 'Chezea Windhoek wewe onja uone' kazi kweli kweli.
Tu tost kidogo jamani tuimarishe afya zetu kwa kunywa 
windhoek. Jamani ni tamu hizo we acha tu.

Monday, November 10, 2014

PICHA MBALIMBALI KATIKA WINDHOEK SUNDAY BONANZA DODOMA ROYAL VILLAGE HOTEL

 wanamuziki wa TNC band wakikonga nyoyo za mashabiki wa windhoek
 wapiga vyombo wa TNC wakicharaza magitaa yao katika windhoek bonanza royal village hotel
 mashabiki mbalimbali waliofurika katika windhoek bonanza royal village hotel dodoma
vimwana wa windhoek wa dodoma wakiwa tayari kwa kutoa huduma

Friday, November 7, 2014

KAMPUNI YA BIA YA MABIBO KUPITIA BIA ZAKE ZA WINDHOEK LAGER NA WINDHOEK DRAUGHT YAJITOSA KUINUA UCHUMI WA MKOA KAGERA

 Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr.James Rugemalira akizungumza na wadau mbalimbali wa mjini Bukoba wakati wa Promosheni ya bia za Windhoek Lager na Windhoek Draught katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Kampuni hiyo zilizofanyika Hoteli ya New Coffee Tree Inn mjini Bukoba leo usiku. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com simu namba 0712-727062)
 Fr.James Rugemalira (katikati), akisisitiza jambo
 kwenye promosheni hiyo. Kutoka kushoto ni Mganga
 Mkuu wa Halmsahauri ya Wilaya ya Bukoba, Hamza
 Mugura, Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya
 inayofanya shughuli zake mjini Bukoba ya KADETFU,
Yusto Muchuruza, Mshauri wa Fr.James, Enic Kashasha
 na Andrew Kailembo.
 Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo.
 Mrembo huyu mnywaji wa Windhoek naye
 alikuwepo kwenye promosheni hiyo.
Mshereheshaji wa Promosheni hiyo, Andrew Kagya,
 akiwajibika.

 Meneja Mauzo wa Kanda ya Ziwa, Godfrey Mwangungulu, akielezea ubora wa Bia za Windhoek.
Mdau wa Windhoek akifuatilia matukio yote kwa karibu.
 Hakika imependeza.

Fr.James Rugemalira (katikati), akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali.  Kutoka kushoto ni Mwanasheria Mwandamizi wa Serikali mkoani Bukoba, Sakina Husein Sinda,Mganga Mkuu wa Halmsahauri ya Wilaya ya Bukoba, Hamza Mugura, Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya inayofanya shughuli zake mjini Bukoba ya KADETFU, Yusto Muchuruza, Mshauri wa Fr.James, Enic Kashasha na Andrew Kailembo, Mmiliki wa Walkgard Hoteli, Adventina Matungwa na Dk.Julius Zelothe.

 Wanahabari wakiwa kwenye promosheni hiyo.
 Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo
Promosheni imenogaaaa.
 Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo.
 Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya inayofanya shughuli zake mjini Bukoba ya KADETFU, Yusto Muchuruza,akichangia mada katika promosheni hiyo.
Hapa Windhoe imependezaaa ni tamuuuuuuu
 Wadau wakipata kinywaji cha Windhoek katika promosheni hiyo.